Bungoma: wazee waitaka bunge kuupitisha mswada wa kufanya wao kulipwa mishahara kama wafanyakazi

  • | NTV Video
    124 views

    Wazee wa mitaa kutoka eneo Kanduyi kaunti ya Bungoma wameliitaka bunge la kitaifa kuharakisha na kuupitisha mswada utakaopelekea wao kulipwa mishahara kama wafanyakazi wengine serikalini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya