Msafara wa MPESA Sokoni umevuka feri leo na kutua katika maeneo ya Likoni

  • | Citizen TV
    254 views

    Msafara wa MPESA Sokoni umevuka feri leo na kutua katika maeneo ya Likoni Kombani na Ukunda Pwani Kusini ukiendeleza shamrashamra za maadhimisho ya miaka 18 ya MPESA nchini Kenya. Kampuni ya Safaricom imeshirikiana na Royal Media Services, kuwahamasisha wafanyabiashara pamoja na wateja wa MPESA katika ukanda wa Pwani.