Skip to main content
Skip to main content

Mbadi atofautiana na Oburu kuhusu nyadhifa za mawaziri

  • | KBC Video
    381 views
    Duration: 3:55
    Waziri wa fedha John Mbadi amepuuzilia mbali agizo la kaimu kiongozi wa chama cha ODM Oburu Odinga, kwamba mawaziri kutoka chama hicho walijiuzulu kutoka chamani na hawapaswi kuzungumza kwa niaba ya chama hicho. Mbadi alisema akiwa mwanachama wa kudumu wa chama hicho, ana haki ya kusema kwamba ODM itaendelea kuiunga mkono serikali jumuishi, na pia kuungana na Rais William Ruto kubuni serikali mwaka 2027. Na huku hayo yakijiri, chama cha Jubilee kimetaka kuvunjiliwa mbali kwa usimamizi wa tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC, kwa kile ilichokitaja kuwa wasiwasi kuhusu uaminifu kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive