- 393 viewsDuration: 2:28Tume ya kupambana na ufisadi nchini imefanya msako katika makao na ofisi za maafisa wakuu wa idara ya michezo kufuatia tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi millioni tano na zaidi ya nusu billioni, walizokuwa wamewekeza katika miradi ya serikali ya kusalisha riba. Upekuzi huo umefanyika maeneo mbalimbali nchini na kuwalenga maafisa watano na washirika wao