- 38 viewsDuration: 1:58Mataifa ya Kenya na Morocco yameimarisha uhusiano baina yao kupitia ushirikiano mahsusi wa kimatibabu unaolenga kurejesha uwezo wa kusikia kwa watoto wenye ulemavu huo.Mama wa taifa Rachel Ruto na binti mfalme wa Morocco malkia Lalla Asmaa kwa pamoja walizindua ushirikiano wa upandikizaji wa ‘komboli’ kwa kimombo ‘Cochlear” katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta na kuanzisha hatua kubwa ya utoaji huduma za afya jumuishi na maslahi kwa watoto. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive