Skip to main content
Skip to main content

Hospitali katika kaunti ya Mandera kupata vifaa vipya

  • | KBC Video
    74 views
    Duration: 3:19
    Gavana wa Mandera Mohamed Khalif amesema utawala wake utazipa hospitali zote za kaunti ndogo vifaa vya kisasa vya kushughulikia maradhi ya figo ili kupunguza msongamano katika hospitali ya mafunzo na matibabu maalum ya Kaunti ya Mandera. Gavana Khalif alisema hatua hiyo itapunguza idadi ya wagonjwa wanaohamishiwa hospitali hiyo ya level 5 ambayo inahudumia wagonjwa wa figo hata kutoka nchi jirani za Somalia na Ethiopia. Akizungumza na runinga ya KBC Channel one, Gavana Khalif alisema utawala wake pia umepiga hatua kubwa katika kupunguza vifo vya kina mama wanaojifungua na watoto katika miaka mitatu iliyopita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive