Mkewe Rais aongoza hafla huko wote kaunti ya makueni

  • | Citizen TV
    92 views

    Mkewe Rais Rachel Ruto, pamoja na Waziri wa Jinsia na Masuala ya Watoto, Annah Chemptumo waliongoza Maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika katika Mji wa Wote, Kaunti ya Makueni.