Wazazi watakiwa kuwafunza wana wao tamaduni zenye manufaa

  • | Citizen TV
    148 views

    Wadau wa Elimu wameripoti kudidimia Kwa Mila na tamaduni zenye manufaa za kiafrika,wazazi wakituhumiwa Kwa kufeli kulinda Mila hizo Kwa kuwafundisha Wana wao na badala yake kuupa upenyo Mila za kigeni, ambazo zimekuwa chanzo za kupotoka kimaadili Kwa kizazi Cha sasa.