Taasisi ya Kemri yasema haina pesa za kutosha kufadhili utafiti

  • | Citizen TV
    55 views

    Taasisi ya utafiti wa matibabu nchini Kemri imeelezea hofu ya kukosa kufadhili huduma muhimu za utafiti kutokana na bajeti finyu.