Tamasha ya muziki ya shule za upili yakamilika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    184 views

    Tamasha za hafla ya muziki ya shule za upili kaunti ya Busia zimekamilika katika Shule ya Upili ya Wavulana ya Nambale, huku baadhi ya wadau katika sekta ya elimu wakiitaka serikali kuwekeza zaidi katika sekta ya elimu ili kufanikisha mtala wa CBC.