Afisa wa polisi James Mukhwana afichua yaliyojiri

  • | Citizen TV
    7,821 views

    Afisa wa polisi James Mukhwana, ambaye anazuiliwa kuhusiana na mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang’, alipasua mbarika akidai kupewa maelezo ya kumtia adabu mwendazake.