jaji mkuu mstaafu ataka wakuu wa polisi wakamatwe

  • | Citizen TV
    2,465 views

    Jaji mkuu mstaafu David Maraga amemtaka Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja, Naibu wake aliyejiondoa Eliud Lagat na Mkurugenzi wa idara ya upelelezi Mohammed Amin kukamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa mauaji ya Albert Ojwang’.