Wamiliki wa bodaboda 25 zilizonaswa Diani wasamehewa

  • | Citizen TV
    318 views

    Idara ya usalama kaunti ya Kwale imetoa msamaha kwa wamiliki wa pikipiki 25 za bodaboda zilizokuwa zimekamatwa na kufungiwa katika Kituo cha Polisi cha Diani kwa makosa madogo madogo ya trafiki