Mohamed Shidiye aidhinishwa na ukoo wa Rer Ali kutoka auliyan

  • | Citizen TV
    1,059 views

    Katika eneo bunge la lagdera wazee kutoka ukoo wa Rer Ali kutoka Auliyan walimuidhinisha Aliyekuwa Balozi ya Kenya nchini Bostwana Mohamed Shidiye kuwania kiti Cha ugavana mwaka 2027 kaunti ya garissa