Mbunge wa Wajir Kusini aonya dhidi ya uwindaji haramu

  • | Citizen TV
    136 views

    Mbunge wa Wajir South, Mohammed Adow, ameonya kuhusu ongezeko la uwindaji haramu wa wanyamapori na uharibifu wa mazingira katika eneo hilo