Bunge la Busia laanzisha mchakato wa mawasiliano kidijitali

  • | Citizen TV
    166 views

    Bunge la kaunti ya busia limeanzisha mikakati ya kufanya mawasiliano yote kidijitali ili kuwafikia wananchi wote wanaohitaji ufahamu kuhusu yanaoendelea kwa muda ufaao 11