Mwekezaji ajitokeza kudai umiliki wa ardhi kanamai Kilifi

  • | Citizen TV
    353 views

    Mzozo unatokota katika eneo la majengo kanamai kaunti ya Kilifi baada ya mtu mmoja eneo hilo kujiitokeza na kudai sehemu ya ardhi ya mkazi ni mali yake.