Polisi wawili waliyonekana wakimpiga risasi mchuuzi wafikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    16,232 views

    Maafisa wawili wa polisi Klinzy Baraza Masinde na Duncan Kiprono waliionekana wakimpiga risasi muuzaji barakoa kwenye maandamano jijini nairobi wamefikishwa mahakamani leo.