Ukatili wa polisi

  • | Citizen TV
    466 views

    Viongozi hao wakiwemo Mbunge wa Kangema Peter Kihungi, mbunge wa kiharu ndindi nyoro na mwakiliki wa kike betty maina, wanataka polisi waliohusika wachukuliwe hatua na kuwa mfano kwa wengine wanaopaka tope idara ya polisi.