Polisi wawili walionekana wakimpiga risasi mchuuzi

  • | Citizen TV
    2,508 views

    Maafisa wawili wa polisi Klinzy Barasa Masinde na Duncan Kiprono waliionekana wakimpiga risasi muuzaji barakoa kwenye maandamano jijini nairobi wamefikishwa mahakamani leo. kesi hiyo inaendelea katika mahakama ya milimani. tusikilize