Wakazi zaidi ya 900 wapewa matibabu bila malipo

  • | Citizen TV
    134 views

    wakazi zaidi ya 900 kutoka Kajiado kusini wamenufaika na kambi ya matibabu ya bure ambayo inalenga kutoa matibabu na hasama kuhusu afya ya msingi Pamoja na namna ya kupambana na mgonjwa sugu kwa wakazi zaidi ya 2000 katika eneo hilo.