Wafanyabiashara wasema wamelaghaiwa zaidi ya ksh.20m

  • | Citizen TV
    2,060 views

    Wafanyabiashara zaidi ya 25 mjini Diani kaunti ya Kwale wamedai kulaghaiwa na mwekezaji mmoja aliyeahidi kuwakodishia vyumba vya biashara ila hajatimiza makubaliano yao licha ya kupokea malipo.