Gavana wa laikipia azindua mradi wa kusambaza matangi

  • | Citizen TV
    411 views

    Kaunti ya Laikipia ni mojawapo ya maeneo yanayokumbwa na changamoto ya uhaba wa maji. Ili kukabiliana na hali hii, Gavana wa kaunti hiyo Joshua Irungu, ameanzisha mradi maalum wa kugawa matanki ya maji kwa vikundi vya kina mama pamoja na shule mbalimbali.