Gachagua adai kuna njama ya kuvuruga ziara yake ya kisiasa

  • | KBC Video
    40 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua anadai kwamba kuna njama ya kuvuruga ziara yake ya siku tatu katika eneo la mlima Kenya kupitia kwa wahuni wanaofadhiliwa na serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive