Israel yatangaza udhibiti wa anga

  • | BBC Swahili
    6,801 views
    Israel imeishambulia Iran kwa mabomu katika maeneo ya nyuklia na kambi za kijeshi, Iran nayo imejibu vikali kwa kurusha makombora ya masafa marefu kwenye miji mikuu ya Israel na kusababisha vifo, uharibifu mkubwa na hofu ya vita vya wazi. Israel imetangaza "udhibiti wa anga" wa Iran huku Tehran nayo ikiahidi kutumia makombora hatari zaidi. Eagan Salla anatuchambulia suala hili: - - #bbcswahili #iran #israel #mashambulizi #nyuklia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw