Wadau wa elimu na wazazi wahamasisha wanafunzi kukumbatia mila, desturi kudumisha nidhamu Malindi

  • | Citizen TV
    109 views

    Wadau wa elimu pamoja na wazazi mjini le Malindi kaunti ya Kilifi wameanzisha kampeni kabambe ya kuhamasisha wanafunzi kukumbatia mila zao na desturi ili kudumisha nidhamu katika shule na taasisi mbali mbali eneo hilo