Ibada yajumuisha wakenya wa dini mbalimbali nchini imefanywa kuwakumbuka waathiriwa wa maandamano

  • | Citizen TV
    318 views

    Ibada ya pamoja ya kuombea familia za ziliopoteza vijana wao wakati wa maandamano ya gen z ya mwaka uliopita ilifanyika jana hapa nairobi. Waliozungumza kwenye ibada hiyo katika kanisa la all saints cathedral wakipaza wito kwa serikali kuhakikisha haki imetendeka na kwa rais william ruto kukomesha mauaji ya kiholela