- 1,791 viewsDuration: 2:53Mwanzilishi wa kanisa la Zion Fire Annoiting Ministries eneo la Changamwe kaunti ya Mombasa ameandikisha taarifa na polisi kwa tuhuma za kuendesha mafunzo potofu ya kidini. Elizabeth Kadori amekana madai ya kujihusisha na itikadi hizo za dini na kuachiliwa kwa dhamana ya polisi. Washukiwa wengine wawili bado wanazuiliwa