- 549 viewsDuration: 2:59Aliwacha masomo yake baada ya kukosa uwezo wa kuendelea na masomo yake miaka kumi na moja iliyopita. Ila sasa Janet Mariachana ambaye sasa ni mama ya watoto wawili amerejea kufanya mtihani wa kitaifa wa KCSE na ni miongoni mwa watahiniwa wanaofanya mtihani huu unaoendelea