Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo Musyoka azuru kaburi la Raila Odinga akirejelea urafiki wao wa karibu

  • | Citizen TV
    13,267 views
    Duration: 3:08
    Kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, leo amezuru kaburi la Hayati Raila Odinga katika shamba la Kang'o Ka Jaramogi, Kaunti ya Siaya. Kalonzo akirejelea usuhuba wake wa karibu na marehemu Raila wakiwa wandani wa kisiasa na marafiki wa dhati. Mjane wa Raila Odinga, Ida Odinga, amesema kuwa urafiki kati ya Kalonzo na Hayati Raila hauwezi kufutika