Mali ya thamani isiyojulikana iliteketezwa Ol-kalou, Nyandarua

  • | Citizen TV
    719 views

    Mali ya serikari ya dhamani isiojulikana ilihirabiwa na kutiwa moto na wandaamanaji waliokuwa na ghadhambu mjini Ol-kalou, kaunti ya Nyandarua.Hii ni baada ya kijana mmoja aliyekuwa miongoni mwa wanndamanaji walioshikiriki maadamany ya jana kupigwa rirsai na kufa pao hapo na maafisa wa usalama hatua chache kutoka kituo cha polisi cha Ol-Kalou