Kipyegon asema bado ana ari ya kukimbia chini ya dakika 4

  • | Citizen TV
    956 views

    Mamia ya wakenya walijitokeza kushangilia bingwa wa riadha humu nchini Faith Kipyegon katika ari yake ya kukimbia maili moja chini ya dakika nne hapo jana usiku nchini Ufaransa.