Wanne waokolewa kwenye mgodi uliporomoka Tanzania

  • | BBC Swahili
    885 views
    Watu wanne wameokolewa baada ya mgodi mdogo wa dhahabu kuporomoka na kuwafunika zaidi ya watu 25 mkoani Shinyanga nchini Tanzania. Waathiriwa ni mafundi waliokuwa katika zoezi la ukarabati wa mashimo katika mgodi huo. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita, amesema kwa sasa shughuli za uokoaji zinaendelea. @RoncliffeOdit anachambua kwa kina suala hili kwa pamoja na taarifa nyingine nyingi saa tatu usiku wa leo, mubashara kwenye Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube, BBC Swahili. #bbcswahili #tanzania #ajalimigodini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw