Wakenya waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi mkuu

  • | VOA Swahili
    2,720 views
    Wakenya wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Jumanne huku kukiwa na taarifa za mkanganyiko kutoka baadhi ya vyombo vya habari. - Wakenya waendelea kubakia nyumbani kwa siku ya pili huku shughuli nyingi zikiwa zimefungwa wakisubiri matokeo ya uchaguzi wa rais. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.