Kikao cha usalama chaandaliwa Ndunyu nNeru

  • | Citizen TV
    2,861 views

    Hali ya taharuki imetanda eneo la Ndunyu Njeru Kaunti ya Nyandarua baada ya mahabusu watatu kuaga dunia kwenye uvamizi wa kituo cha polisi eneo hilo, wananchi wakilalamika kuwa visa vya wizi wa mifugo vimekithiri.