Serikali yataka vyuo vikuu durusu mfumo wa CBC kujiandaa na wanafunzi

  • | NTV Video
    55 views

    Serikali kupitia wizara ya elimu imevitaka vyuo vikuu nchini kudurusu mfumo wa umilisi wa CBC kwa mandalizi ya kuwapokea wanafunzi watakaojiunga na tasisi za elimu ya juu miaka ya hivi karibuni.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya