Skip to main content
Skip to main content

Baraza la Mawaziri lataka sheria za SHA zibadilishwe

  • | Citizen TV
    139 views
    Duration: 1:16
    Kuna uwezekano maelfu ya wafanyakazi wa serikali za kaunti kutopata huduma za afya kupitia bima ya kitaifa ya SHA, kutokana na kuendelea kucheleweshwa kwa mgao wa fedha za ugatuzi. Ni swala ambalo limelisukuma baraza la magavana kupitia kamati ya afya kupendekeza mabadiliko kwenye sheria ya SHA.