7 Nov 2025 10:12 am | Citizen TV 213 views Duration: 1:40 Kufuatia uhabirifu mkubwa wa mazingira pamoja na uwindaji haramu unaofanywa na wakimbizi eneo la Dadaab kaunti ya Garissa, wadau katika idara hiyo wamependekeza njia kadhaa za kukomesha vitendo hivyo.