Skip to main content
Skip to main content

Mradi wa maji Kilifi na Mombasa

  • | Citizen TV
    130 views
    Duration: 1:39
    Serikali inaendeleza ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme kupitia miale ya Jua kule Baricho, kaunti ndogo ya Malindi ili kutatua changamoto za uhaba wa maji unaoshuhudiwa mara Kwa mara katika kaunti za Kilifi na Mombasa.