- 202 viewsDuration: 1:45Huku msimu wa shamrashamra za sherehe pamoja na tamaduni za jamii ya Marakwet katika kaunti ya Elgeyo Marakwet zikibisha hodi,mashirika mbali mbali katika kaunti hiyo yamejitokeza na kuendeleza uhamasisho kwa wakazi wa sambirir eneo bunge la Marakwet Mashariki kuhusiana na hatari za ukeketaji.