- 168 viewsDuration: 43sMamlaka ya Kitaifa ya Kudhibiti Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) imewataka viongozi wa kidini kushiriki kikamilifu katika kukabiliana na ongezeko la visa vya ulevi na matumizi ya dawa za kulevya katika Kaunti ya Nandi.