7 Nov 2025 11:04 am | Citizen TV 136 views Duration: 1:58 Serikali ya kaunti ya Taita Taveta imesema itashirikiana na kamati za mashamba ya kijamii ili mashamba hayo yaweze kunufaisha jamii hasa katika uchimbaji wa madini na ufugaji.