Serikali ya kaunti ya Narok zatoa onyo kali dhidi ya vijana kutumia fursa za maandamano kupora mali

  • | Citizen TV
    272 views

    Serikali ya Kitaifa na ya Kaunti ya Narok zimetoa onyo kali dhidi ya vijana kutumia fursa za maandamano kupora mali na kusambaratisha amani.