Wafanya biashara Nanyuki wakutana na polisi

  • | Citizen TV
    952 views

    Wafanyabiashara mjini nanyuki wamefanya kikao na idara ya usalama kaunti ya laikipia ili kujadili jinsi biashara zao zitalindwa wakati wa maandamano.