Ngamia 650 kati ya ngamia 660 walioibiwa wapatikana

  • | Citizen TV
    468 views

    Maafisa wa Kitengo cha Kupambana na wizi wa Mifugo pamoja na maafisa wa akiba wamefanikiwa kurejesha ngamia 650 kati ya ngamia 660 walioibwa kwenye uvamizi katika eneo la Burat, kaunti ya Isiolo.