Mwanablogu aliyeuawa Albert Ojwang azikwa

  • | KBC Video
    52 views

    Marehemu mblogu aliyekuwa pia mwalimu Albert Ojwang amezikwa. Hafla ya mazishi ilihudhuriwa na umati mkubwa wa watu waliokusanyika nyumbani kwake huko Mawego kaunti ya Homa Bay kumpa heshima za mwisho. Viongozi wa kisiasa wakiongozwa na mwenyekiti wa kitaifa wa chama cha Gladys Wanga, waliwahimiza maafisa kuchukua hatua za haraka na kuhakikisha uwajibikaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive