Polisi wafyatua hewani wakimkamata tena mwandani wa Gachagua Kawanjiru baada ya kuwachiliwa na korti

  • | Citizen TV
    22,028 views

    Milio ya risasi ilitanda hewani polisi wa kitengo cha kukabiliana na ugaidi walipomkamata kwa mara ya pili mshukiwa ambaye alikuwa ameachiliwa kufuatia madai ya kuteketeza kituo cha polisi cha Kikuyu wakati wa maandamano ya wiki jana.