Biashara I Wakandarasi wahimizwa kufuata kanuni za ujenzi

  • | KBC Video
    4 views

    Wakandarasi wanahimizwa kufuata kanuni za ujenzi za mwaka 2024, huku serikali ikiimarisha juhudi za kuhakikisha uzingatifu wa kanuni za kisasa katika sekta ya ujenzi.Waziri wa ujenzi Alice Wahome amesema sheria kuhusu ujenzi zitatekelezwa kikamilifu,akisisitiza serikali haitaruhusu kazi duni katika sekta hiyo muhimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive