Kazi ni Kazi I Kutana naye Kocha wa tenisi Rosemary Owino

  • | KBC Video
    12 views

    Alihitimu katika kozi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, lakini nafasi za ajira zilipokosekana, alibadili vitufe vya tarakilishi kwa mpini wa raketi ya tenisi kujipatia riziki ya kila siku. Kwa zaidi ya miongo miwili, Kocha Rosemary Owino ameigeuza ari yake kwa mchezo wa tenisi kuwa taaluma ya kudumu, akilea vipaji uwanjani na kuthibitisha kuwa wakati mwingine, mpango wa pili ama ‘Plan B’ inaweza kubadilisha maisha. Fredrick Muoki anamwangazia usiku wa leo katika makala yetu ya Kazi ni Kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive