Watunishaji misuli 120 kushiriki Bwana na Bi Magharibi kesho Kisumu

  • | NTV Video
    17 views

    Zaidi ya Watunishaji misuli 120 wanatarajiwa kushiriki mashindano ya mwaka huu ya Bwana na Bi Magharibi ambayo yatafanyika hapo kesho katika ukumbi wa Fitness Summit Gym katika kaunti ya Kisumu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya